Simba, Yanga zikishiriki Super League kupewa bilioni 2.3, bingwa kupata bilioni 23

Simba, Yanga zikishiriki Super League kupewa bilioni 2.3, bingwa kupata bilioni 23

Yani unataka kulazimisha kuichomeka Yanga...
Wapi nimelazimisha Yanga iwepo? Ndio shida ya nyie watu mnaojawa na mahaba ya usimba na uyanga. Mtu anauliza ishu general wewe una specify katika ushabiki
 
Hujui, hizi hela watakula viongozi na wachezaji wataambulia kulala hotelini tu! Ufisadi katika mpira ndiyo unatuua TZ
Mchezaji ni mwajiriwa, analipwa mshahara wake kama makubaliano ya mkataba yalivyo. Uliona wapi mwajiri anagawa hela kwasababu kapata nyingi??
 
Back
Top Bottom