Simba yapanda kwa ubora wa klabu CAF

Payrol

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2018
Posts
2,286
Reaction score
3,082
Klabu ya Simba imepanda kwa viwango vya vya ubora barani Afrika kutoka nafasi ya 20 mpaka ya 16 mwaka huu. 2019 ( hii imekaaje nimeikuta Kwenye blog ya saleh jembe)
 
Ubora kwa kutolewa na UD SONGO, Yanga tungepangiwa hawa UD SONGO tungewafunga hata goli 10 . simba hamna kitu
Pinga kwa hoja na si vioja! Takwimu umewekewa hapo unaleta "ubishi" wa kijiweni!!!!!!!
 
Klabu ya Simba imepanda kwa viwango vya vya ubora barani Afrika kutoka nafasi ya 20 mpaka ya 16 mwaka huu. 2019 ( hii imekaaje nimeikuta Kwenye blog ya saleh jembe)View attachment 1229372
Aliye waita Simba Mbumbumbu alikua sahihi, yaani timu yao inagalagala mchangani alafu wana ambiwa imepandaki wango wana kenua meno kushangilia. Ivi timu ya simba imetolewa hatua ya mwanzo na timu iliyo itoa ata katika nafasi miamoja haimo wewe una ambiwa unashika namba 16 kwa ubora alafu unafurahi !!!.
 
Acha mayowe, record inaibeba simba. Upande wa nyuma wa iyo list yanga ni kwanza
 
Sasa mi sijakuelewa, unapingana na takwimu au utaki wanasimba wafurahie kupanda kiviwango vya CAF?
Mana swala la kutolewa halina uhusiano na hizo takwimu.
Mfano Madrid mabingwa walitolewa na Ajax haimanishi Ajax ipo rank ya juu kuliko Madrid.
 
Umesaha hizo point alizopata Simba ndio zimesababisha Yanga na KMC kucheza CAF,jenga heshima kwa hizo point kwa ajili ya Taifa.
 
Yaache mkuu yachekelee kama mazuzu vile, eti amepanda viwango nfyuuuuuu, labda viwango vya kubsnduliwa na UD Songo, vinginevyo Hanna kitu, bure kabisa, zero brain
 
Records ndio zinazofanya Simba iwe hapo
 
Ubora kwa kutolewa na UD SONGO, Yanga tungepangiwa hawa UD SONGO tungewafunga hata goli 10 . simba hamna kitu
Siku ya mechi dhidi ya UD Songo, CAF ilituma watu kuja kufuatilia malalamiko ya timu za Nkana na AS Vita kuhusu mchezo wa 5imba kuwawekea dawa wapinzani.

Wakashindwa kufanya uharamia wao na kuachia mpira halisi uchukue nafasi yake.

Matokeo ndiyo yale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…