Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndio ukweli japo yanga watapingaKlabu ya Simba imepanda kwa viwango vya vya ubora barani Afrika kutoka nafasi ya 20 mpaka ya 16 mwaka huu. 2019 ( hii imekaaje nimeikuta Kwenye blog ya saleh jembe)View attachment 1229372
Umeangalia list lakini?Ubora kwa kutolewa na UD SONGO, Yanga tungepangiwa hawa UD SONGO tungewafunga hata goli 10 . simba hamna kitu
CCM mna shida sana, si mngecheza sasa ili mpangiwe?Ubora kwa kutolewa na UD SONGO, Yanga tungepangiwa hawa UD SONGO tungewafunga hata goli 10 . simba hamna kitu
Utajua wewe na usibishane na takwimuUbora kwa kutolewa na UD SONGO, Yanga tungepangiwa hawa UD SONGO tungewafunga hata goli 10 . simba hamna kitu
Ubora kwa kutolewa na UD SONGO, Yanga tungepangiwa hawa UD SONGO tungewafunga hata goli 10 . simba hamna kitu
Umekula mti gani?Ubora kwa kutolewa na UD SONGO, Yanga tungepangiwa hawa UD SONGO tungewafunga hata goli 10 . simba hamna kitu
Pinga kwa hoja na si vioja! Takwimu umewekewa hapo unaleta "ubishi" wa kijiweni!!!!!!!Ubora kwa kutolewa na UD SONGO, Yanga tungepangiwa hawa UD SONGO tungewafunga hata goli 10 . simba hamna kitu
Aliye waita Simba Mbumbumbu alikua sahihi, yaani timu yao inagalagala mchangani alafu wana ambiwa imepandaki wango wana kenua meno kushangilia. Ivi timu ya simba imetolewa hatua ya mwanzo na timu iliyo itoa ata katika nafasi miamoja haimo wewe una ambiwa unashika namba 16 kwa ubora alafu unafurahi !!!.Klabu ya Simba imepanda kwa viwango vya vya ubora barani Afrika kutoka nafasi ya 20 mpaka ya 16 mwaka huu. 2019 ( hii imekaaje nimeikuta Kwenye blog ya saleh jembe)View attachment 1229372
Acha mayowe, record inaibeba simba. Upande wa nyuma wa iyo list yanga ni kwanzaAliye waita Simba Mbumbumbu alikua sahihi, yaani timu yao inagalagala mchangani alafu wana ambiwa imepandaki wango wana kenua meno kushangilia. Ivi timu ya simba imetolewa hatua ya mwanzo na timu iliyo itoa ata katika nafasi miamoja haimo wewe una ambiwa unashika namba 16 kwa ubora alafu unafurahi !!!.
Sasa mi sijakuelewa, unapingana na takwimu au utaki wanasimba wafurahie kupanda kiviwango vya CAF?Aliye waita Simba Mbumbumbu alikua sahihi, yaani timu yao inagalagala mchangani alafu wana ambiwa imepandaki wango wana kenua meno kushangilia. Ivi timu ya simba imetolewa hatua ya mwanzo na timu iliyo itoa ata katika nafasi miamoja haimo wewe una ambiwa unashika namba 16 kwa ubora alafu unafurahi !!!.
Umesaha hizo point alizopata Simba ndio zimesababisha Yanga na KMC kucheza CAF,jenga heshima kwa hizo point kwa ajili ya Taifa.Aliye waita Simba Mbumbumbu alikua sahihi, yaani timu yao inagalagala mchangani alafu wana ambiwa imepandaki wango wana kenua meno kushangilia. Ivi timu ya simba imetolewa hatua ya mwanzo na timu iliyo itoa ata katika nafasi miamoja haimo wewe una ambiwa unashika namba 16 kwa ubora alafu unafurahi !!!.
Yaache mkuu yachekelee kama mazuzu vile, eti amepanda viwango nfyuuuuuu, labda viwango vya kubsnduliwa na UD Songo, vinginevyo Hanna kitu, bure kabisa, zero brainAliye waita Simba Mbumbumbu alikua sahihi, yaani timu yao inagalagala mchangani alafu wana ambiwa imepandaki wango wana kenua meno kushangilia. Ivi timu ya simba imetolewa hatua ya mwanzo na timu iliyo itoa ata katika nafasi miamoja haimo wewe una ambiwa unashika namba 16 kwa ubora alafu unafurahi !!!.
Aliye waita Simba Mbumbumbu alikua sahihi, yaani timu yao inagalagala mchangani alafu wana ambiwa imepandaki wango wana kenua meno kushangilia. Ivi timu ya simba imetolewa hatua ya mwanzo na timu iliyo itoa ata katika nafasi miamoja haimo wewe una ambiwa unashika namba 16 kwa ubora alafu unafurahi !!!.
Siku ya mechi dhidi ya UD Songo, CAF ilituma watu kuja kufuatilia malalamiko ya timu za Nkana na AS Vita kuhusu mchezo wa 5imba kuwawekea dawa wapinzani.Ubora kwa kutolewa na UD SONGO, Yanga tungepangiwa hawa UD SONGO tungewafunga hata goli 10 . simba hamna kitu
Ndio maana hawana hata nguvu ya kuchangia.Mleta Uzi kawaweza mbumbumbu wenzie