ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Kwani kati ya Mzembe na Ayubu nani afadhari?Ndo ujinga huo umetumika kumpa mamelod % za alhaly hawa ni kama wamebet tu hakuna calculations wala nini na tambua haijatolewa na caf ni kampuni binafsi
Nawe ulivyo nachuki ukaamua kuitenga simba na tp mazembe umeweka na gap kabisa kwa hy tano ya tp na ya simba ni tofauti?
Yaani mamelod ana asilimia kubwa kuliko wote? Maajabu hayaSalaam Wana jf
Ukistaajabu ya Musa ...utaona ya Mzee pharaoh, timu inayojinasibu Kwa kuota kuwa itamtoa Al ahly chaajabu imeambulia 5% za kubeba Kombe Hilo [emoji23][emoji23][emoji23] hiki ni kichekesho Kwa makolo
Kumbuka hizi takwimu zinakua calculated na wataalamu wakali wa mathematics.... probability mfano Yanga alipewa % nyingi ....akafika final ya champions
Hizi ni probability za timu kubeba super league cup
Mamelods,............23%
Al ahly .............. 21%
Wydad Casablanca...18%
Esperance de Tunis ....14%
Petro de Luanda .....12%
Tp mazembe. .......5%
Simba ( Ayubu) .........5%
Enymba 2%
NB: Je sisimizi (Simba) anaweza kumuua tembo ( Al ahly)[emoji23][emoji23]
View attachment 2785204
Haiwawezi waarabu kwasasaMamelods unaichukulia kiboya?
Kwani kati ya Mzembe na Ayubu nani afadhari?
VIpi final walipewa probability % kushinda kombe ?Yanga walipewa % nyingi ......then wakafika final ......
So Kuna kauhalisia hapa
AhaaaaaaaSalaam Wana jf
Ukistaajabu ya Musa ...utaona ya Mzee pharaoh, timu inayojinasibu Kwa kuota kuwa itamtoa Al ahly chaajabu imeambulia 5% za kubeba Kombe Hilo [emoji23][emoji23][emoji23] hiki ni kichekesho Kwa makolo
Kumbuka hizi takwimu zinakua calculated na wataalamu wakali wa mathematics.... probability mfano Yanga alipewa % nyingi ....akafika final ya champions
Hizi ni probability za timu kubeba super league cup
Mamelods,............23%
Al ahly .............. 21%
Wydad Casablanca...18%
Esperance de Tunis ....14%
Petro de Luanda .....12%
Tp mazembe. .......5%
Simba ( Ayubu) .........5%
Enymba 2%
NB: Je sisimizi (Simba) anaweza kumuua tembo ( Al ahly)[emoji23][emoji23]
View attachment 2785204
Tunajua kitakacuotokea .... that's y we're keep reminding kolo mamlakaTunaendelea na SIMBA........
16/10/2023
--Simba wameteuliwa Super league ili kuibeba Al Ahly.
17/10/2023
Mchambuzi: Hakunan mchezaji wa Simba anayeweza kucheza Al Ahly.
18/10/2023
Simba yapewa 5% kubeba kombe la super league
----Nitaendelea kuleta "matokeo" kadiri yatakavyokuwa yanatoka, kupitia kwa mkuu sana, Labani og