Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha majungu hayoNashukuru xana kwa pesa zenu za msimu naona msimu huu mnaonja joto la jiwe
Teh teh tehHahaha majungu hayo
Hiyo picha mbona chafu chafu umeitolea TBC nini?View attachment 553019
Kwi!kwi!kwi!
AiseeView attachment 553019
Kwi!kwi!kwi!
So what ??Ni habari ya chinichini kwamba mnyama simba sports yalambwa saba katika moja ya mechi za kujifua kwa ajili ya maandalizi ya msimu
Ama kweli huu utakuwa msala na kocha ajipange maana kupigwa Wiki si kitu cha kuchekelea
But matokeo umeyaona vema right?Hiyo picha mbona chafu chafu umeitolea TBC nini?
Hizo za chinichini,kumbe za simba za chinichini nzuri ila za yanga ni mbaya
Hiyo ni mechi ya Kirafiki ,wala haituumizi kichwa.View attachment 553019
Kwi!kwi!kwi!
Unategemea graphics za aiana gani kwa timu ligi daraja la 3 Afrika Kusini?[emoji23]Hiyo picha mbona chafu chafu umeitolea TBC nini?