Simba yapigwa bao 7 Afrika Kusini

Simba yapigwa bao 7 Afrika Kusini

1139211b613c2f5b7c2e559ac2ac6ff7.jpg
 
Ni habari ya chinichini kwamba mnyama simba sports yalambwa saba katika moja ya mechi za kujifua kwa ajili ya maandalizi ya msimu
Ama kweli huu utakuwa msala na kocha ajipange maana kupigwa Wiki si kitu cha kuchekelea
So what ??
 
Kuna ujuha uliwatawala wana yanga. Akizusha jambo mmoja wote wanaamini. Haya semeni simba walicheza na timu gani na wakati gani. Maana nijuavyo mimi watacheza na Pyrets pamoja na Bidvest wiki ijayo.
 
Back
Top Bottom