Simba yapigwa faini ya TSh 5 milioni kwa kufanya vurugu Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Klabu ya Simba imetozwa faini ya Sh. 5,000,000 (milioni tano), kwa kosa la walinzi wake kufanya vurugu na kuvuja mlango na kioo cha dirisha la ofisi ya meneja msaidizi wa uwanja wa CCM Kirumba, wakilazimisha wa maofisa Pamba na wa Uwanja waliokuwa ndani ya ofisi hiyo kutoka nje wakati timu ya Simba ikiendelea na mazoezi.
Vurugu hizo zilitokea siku moja kabla ya mchezo wa Ligi Kuu Bara katia ya Pamba Jiji dhidi ya Simba SC, kuchezwa jijini Mwanza Novemba 28.

Pia, Soma:
Klabu ya Simba italazimika kulipa gharama za uharibifu uliofanywa na walinzi hao kwenye uwanja wa CCM Kirumba.


 
Ile hela ya goli la mama mmeshakula au bado ipo,,,kama ipo wapeni bodi ya ligi,maisha yanendelee.
 
Mbumbumbu watakuja kubisha
Timu inayoshiriki mashindano yenu ya akina mama haiwezi kujielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…