Simba yapoteza kwa Asec Mimosa, lakini kuna fundisho kwa wasio na uzoefu

Simba yapoteza kwa Asec Mimosa, lakini kuna fundisho kwa wasio na uzoefu

kinje ketile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
5,089
Reaction score
9,664
Nalitazama Kundi C CAF CL, Jwaneng Galaxy ana Point 1 mpaka sasa na mechi 1 mkononi,Mamelodi Sundowns na Al Ahly Wana Nafasi Kubwa Ya Kupita.

Halafu,Natazama Kundi A, Timu mbili Za Sudan Hapo zilipofika kwa kweli CAF Wanatakiwa wazishukuru Kwa Kuja,Matumaini ya Kupita ni Zero!

Simba Wawakilishi Pekee Wa Tanzania, Wakilishi Pekee Afrika Mashariki ..bado Wanayo nafasi,Pongezi Kwao ! Wamevuna Pointi 7 mpaka Sasa na Mchezo mmoja Mkononi..home ground !

Fundisho ni Kuwa... Wachezaji wote ni Mashujaa mlivyopigana tumeona, Manula is special case.
Kaokoa Penati 2... Big Up kwake.

Tunasema Simba Karibuni Nyumbani Kifua Mbele nyie ni mashujaa.

Mechi ya Mwisho mtu Lazima Afe Kwa Mkapa hata Kama ATAPOKELEWA na Wafugaji Wetu Waliopo DSM karibu na Kituo cha Mwendo Kasi kilichopo Pale Jangwani....nyie Msijari PIGA MTU ...UA KABISA..!! Matairi ya Kuchomea maiti Zao tumeshaaanda...hilo msijari.!!

Fundisho ni Kuwa ' Utopolo hata Kama Nyie ni Watani Wa Jadi Lakini Vitendo Vya Kuwaandalia Mapokezi Wapinzani Wa Simba ni UHAYAWANI Uliopitiliza.....! USGN wanakuja Muache Shobo..!
 
Hivi kama Simba akishinda dar 6-1 Asec akisuluhu na Berkane inakuaje MNYAMA si anapita enhee ???nipe jibu faster Kuna mtu kaniuliza hapa???
 
Mechi ni april 3 (siku 3 baada ya sikukuu ya yanga)

Tunskutana na vibonde USGN ambao ndio tail kwenye kundi

Kamati ya upokeaji sijajua ratiba yao ila wamejikuta wanajisahau sana maana hawazingatii mfugo wao afu wanamfungia eneo lenye majani ya upupu
😂
 
Mechi ni april 3 (siku 3 baada ya sikukuu ya yanga)

Tunskutana na vibonde USGN ambao ndio tail kwenye kundi

Kamati ya upokeaji sijajua ratiba yao ila wamejikuta wanajisahau sana maana hawazingatii mfugo wao afu wanamfungia eneo lenye majani ya upupu
Haya matokeo yenu ya mifukoni ndio huwa yanawaponza, leo kidogo shabiki wa simba afe kisa mibao ilivyokuwa inaingia alizima kwenye kibanda umiza, ikibidi amwagiwe maji, na kupepewa juu, ndio akazinduka kumpeleka zahanati akapigwa drip eti presha!!

Eti USGN, vibonde, kwao wangekufunga? hizo point 5 zimetoka wapi?

Kuna shabiki wa simba alitegemea leo mngeponea chupu chupu kupigwa 5?!!huu ni mpira.
 
Haya matokeo yenu ya mifukoni ndio huwa yanawaponza, leo kidogo shabiki wa simba afe kisa mibao ilivyokuwa inaingia alizima kwenye kibanda umiza, ikibidi amwagiwe maji, na kupepewa juu, ndio akazinduka kumpeleka zahanati akapigwa drip eti presha...
Una hakika huyo mtu alikuwa hana madeni?
 
Una hakika huyo mtu alikuwa hana madeni?
Athari za madeni zilikuwa zinasubiria simba kufungwa?!!kwani baada ya goli la pili tu, alidondoka kwenye benchi!!
Any way inawezekana labda alikuwa ame bet huko, unajua tena mnyama kukuingiza choo cha vibwengo ni ngumu, ila akikuingiza , matokeo yake ndio hayoo
 
Viwanja vya nyumban vinazidi kuzibeba timu za afrika
Wanaopita ni Rs Berkane
na Simba

Screenshot_2022-03-21-00-38-20-1.png
 
Nalitazama Kundi C CAF CL, Jwaneng Galaxy ana Point 1 mpaka sasa na mechi 1 mkononi,Mamelodi Sundowns na Al Ahly Wana Nafasi Kubwa Ya Kupita.

Halafu,Natazama Kundi A, Timu mbili Za Sudan Hapo zilipofika...
Galaxy hawako kundi moja na Al Ahly na Mamelod bali yuko na Es Tunis, Etoel du Sahel na Belouizdada
 
Back
Top Bottom