msaranga1
JF-Expert Member
- Feb 24, 2013
- 326
- 264
msafara wa mamba kenge hawakosekani mkuuUmetumia nguvu sana kuandika ulichoandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msafara wa mamba kenge hawakosekani mkuuUmetumia nguvu sana kuandika ulichoandika
Ninachokiona Simba inaimarika Sana kwenye game za kimataifa, licha ya kufungwa away lakini performance kujimla ya timu ni nzuri tofauti na miaka ya nyuma.Nalitazama Kundi C CAF CL, Jwaneng Galaxy ana Point 1 mpaka sasa na mechi 1 mkononi,Mamelodi Sundowns na Al Ahly Wana Nafasi Kubwa Ya Kupita.
Halafu,Natazama Kundi A, Timu mbili Za Sudan Hapo zilipofika kwa kweli CAF Wanatakiwa wazishukuru Kwa Kuja,Matumaini ya Kupita ni Zero!
Simba Wawakilishi Pekee Wa Tanzania, Wakilishi Pekee Afrika Mashariki ..bado Wanayo nafasi,Pongezi Kwao ! Wamevuna Pointi 7 mpaka Sasa na Mchezo mmoja Mkononi..home ground !
Fundisho ni Kuwa... Wachezaji wote ni Mashujaa mlivyopigana tumeona, Manula is special case.
Kaokoa Penati 2... Big Up kwake.
Tunasema Simba Karibuni Nyumbani Kifua Mbele nyie ni mashujaa.
Mechi ya Mwisho mtu Lazima Afe Kwa Mkapa hata Kama ATAPOKELEWA na Wafugaji Wetu Waliopo DSM karibu na Kituo cha Mwendo Kasi kilichopo Pale Jangwani....nyie Msijari PIGA MTU ...UA KABISA..!! Matairi ya Kuchomea maiti Zao tumeshaaanda...hilo msijari.!!
Fundisho ni Kuwa ' Utopolo hata Kama Nyie ni Watani Wa Jadi Lakini Vitendo Vya Kuwaandalia Mapokezi Wapinzani Wa Simba ni UHAYAWANI Uliopitiliza.....! USGN wanakuja Muache Shobo..!
Yaani Ile siku nililowa mwili, akili Hadi rohoNikikumbuka ya JWANENG GALAXY nachoka kabisa.
Hata akishinda 1-0Hivi kama Simba akishinda dar 6-1 Asec akisuluhu na Berkane inakuaje MNYAMA si anapita enhee ???nipe jibu faster Kuna mtu kaniuliza hapa???
Simba hangalii matokeo ya mtu yoyote, ye anachotakiwa ni kushinda tuHivi kama Simba akishinda dar 6-1 Asec akisuluhu na Berkane inakuaje MNYAMA si anapita enhee ???nipe jibu faster Kuna mtu kaniuliza hapa???
USGM hawajatufunga, tudraw 1-1, update Livescore yakoHaya matokeo yenu ya mifukoni ndio huwa yanawaponza, leo kidogo shabiki wa simba afe kisa mibao ilivyokuwa inaingia alizima kwenye kibanda umiza, ikibidi amwagiwe maji, na kupepewa juu, ndio akazinduka kumpeleka zahanati akapigwa drip eti presha!!
Eti USGN, vibonde, kwao wangekufunga? hizo point 5 zimetoka wapi?
Kuna shabiki wa simba alitegemea leo mngeponea chupu chupu kupigwa 5?!!huu ni mpira.
Simba anahitaji ushindi wowote, hata 1-0, wala haitaji mabao mengi. Akishinda wala hakuna haja ya kuangalia matokeo ya mechi nyingineHivi kama Simba akishinda dar 6-1 Asec akisuluhu na Berkane inakuaje MNYAMA si anapita enhee ???nipe jibu faster Kuna mtu kaniuliza hapa???
Tatizo ni pale kila mtu anapotaka kuwa mchambuzi. Sijajua uchambuzi wako hapo unamaanisha nini. Kwani attackers si ndio washambuliaji? Labda nitaelewa baadayeAsec wapo mbele bao 3 lakini bado kocha anaingiza washambuliaji.
Simba timu ipo nyuma bao tatu,,
--Badala ya kuingiza attackers matokeo yake unamtoa inonga baka na kuingiza beki ,
Hsta mimi sijaelewa nini anatamani kusema. Ila mimi kitendo cha kumtoa Inonga na kumuingiza Wawa kimenishangaza sikuelewa kocha alikuwa amefikiria nini kimbinu na kiufundi.Tatizo ni pale kila mtu anapotaka kuwa mchambuzi. Sijajua uchambuzi wako hapo unamaanisha nini
Muda wa kufanya sacrifice, unajilipua kukosa kitu fulani kwa ajili ya kutafuta kitu kingine kwa njia ya mkato. inonga yupo bora zaidi kukaba kuliko Wawa. Lakini pia Wawa ana uwezo wa kupiga pasi ndefu kwa usahihi zaidi kuliko Inonga. Kwa muda ule, kocha alihitaji mipira iende mirefu mirefu ikadondokee washambuliaji katika au karibu na eneo la hatari la ASEC, na kazi hiyo akapewa Wawa na alifanya kama mara mbili hiviHsta mimi sijaelewa nini anatamani kusema. Ila mimi kitendo cha kumtoa Inonga na kumuingiza Wawa kimenishangaza sikuelewa kocha alikuwa amefikiria nini kimbinu na kiufundi.
Umeeleza kwa ufasahaMuda wa kufanya sacrifice, unajilipua kukosa kitu fulani kwa ajili ya kutafuta kitu kingine kwa njia ya mkato. inonga yupo bora zaidi kukaba kuliko Wawa. Lakini pia Wawa ana uwezo wa kupiga pasi ndefu kwa usahihi zaidi kuliko Inonga. Kwa muda ule, kocha alihitaji mipira iende mirefu mirefu ikadondokee washambuliaji katika au karibu na eneo la hatari la ASEC, na kazi hiyo akapewa Wawa na alifanya kama mara mbili hivi
Bora wewe unaetunza kauli kuliko wenzako wenye matokeo mfukoni wanaokwambia kwa Mkapa Hatoki mtu sasa sijui ile match ya Jwaneng ilichezwa Mkwakwani.
Hivi kama Simba akishinda dar 6-1 Asec akisuluhu na Berkane inakuaje MNYAMA si anapita enhee ???nipe jibu faster Kuna mtu kaniuliza hapa???
Simba akishinda 1-0
Anapita
relax dada!!kunywa fanta kdg hapoo mtaniNalitazama Kundi C CAF CL, Jwaneng Galaxy ana Point 1 mpaka sasa na mechi 1 mkononi,Mamelodi Sundowns na Al Ahly Wana Nafasi Kubwa Ya Kupita.
Halafu,Natazama Kundi A, Timu mbili Za Sudan Hapo zilipofika kwa kweli CAF Wanatakiwa wazishukuru Kwa Kuja,Matumaini ya Kupita ni Zero!
Simba Wawakilishi Pekee Wa Tanzania, Wakilishi Pekee Afrika Mashariki ..bado Wanayo nafasi,Pongezi Kwao ! Wamevuna Pointi 7 mpaka Sasa na Mchezo mmoja Mkononi..home ground !
Fundisho ni Kuwa... Wachezaji wote ni Mashujaa mlivyopigana tumeona, Manula is special case.
Kaokoa Penati 2... Big Up kwake.
Tunasema Simba Karibuni Nyumbani Kifua Mbele nyie ni mashujaa.
Mechi ya Mwisho mtu Lazima Afe Kwa Mkapa hata Kama ATAPOKELEWA na Wafugaji Wetu Waliopo DSM karibu na Kituo cha Mwendo Kasi kilichopo Pale Jangwani....nyie Msijari PIGA MTU ...UA KABISA..!! Matairi ya Kuchomea maiti Zao tumeshaaanda...hilo msijari.!!
Fundisho ni Kuwa ' Utopolo hata Kama Nyie ni Watani Wa Jadi Lakini Vitendo Vya Kuwaandalia Mapokezi Wapinzani Wa Simba ni UHAYAWANI Uliopitiliza.....! USGN wanakuja Muache Shobo..!
Hakuna namna yoyote kwa sasa itakayoifanya Simba kuongoza kundi. Tie break katika kanuni za mashindano haya zinaeleza kwamba timu zikilingana points, kinachofuata kuangaliwa ni head to head points, then head to head goal difference na kuendelea. Katika head to head points, tumelingana na ASEC na Berkane, ila head to head goal difference, hao wawili wameizidi simba goli moja kila mmoja. Watu wengi hudhani kanuni za mashindano yote duniani zinafanana! NoIla tukishinda magoli mengi zaidi itapendeza zaidi kama Asec akifungwa goli moja bila na sisi tukashinda goli 3 bila tunaweza kuongeza kundi ili tucheze na timu nafuu kidogo robo fainali
Ushujaa wakati mebugizwa huko vyakutosha.. nyie ni wakufungwa tu miaka yote...
Makoloooooo...