Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga Wanatakiwa Walitolee tamko hili la 'UHAYAWANI' wa kwenda Kufanya MAPOKEZI pale Airport kwa Wapinzani Wa Simba.mbona tunapangiana muwafunge mcwafunge,MAPOKEZI LAZIMA.
Labda atoe sare ndiyo ataombea Asec washinde game yao ya mwisho.Simba hangalii matokeo ya mtu yoyote, ye anachotakiwa ni kushinda tu
Kuna tofauti ya mshambuliaji na strikers.Tatizo ni pale kila mtu anapotaka kuwa mchambuzi. Sijajua uchambuzi wako hapo unamaanisha nini. Kwani attackers si ndio washambuliaji? Labda nitaelewa baadaye
--Badala ya kuingiza attackers matokeo yake unamtoa inonga baka na kuingiza beki ,Kuna tofauti ya mshambuliaji na strikers. Hata winger ni mshambuliaji lakini sio stricker.
Sasa kocha alifanya mabadiliko gani kuingiza mshambuliaji?--Badala ya kuingiza attackers matokeo yake unamtoa inonga baka na kuingiza beki ,
Fafanua hiyo sentensi, maana hakuna ulipoandika striker
Mimi siangalii kilichotokea uwanjani, naangalia ulichoandika, na ndicho ninachotaka ufafanueSasa kocha alifanya mabadiliko gani kuingiza mshambuliaji?
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Asec wapo mbele bao 3 lakini bado kocha anaingiza washambuliaji. Simba timu ipo nyuma bao tatu,, ...Badala ya kuingiza attackers matokeo yake unamtoa inonga baka na kuingiza beki ,
Huu ni uchizi. ...Alipaswa aingize striker mwingine acheze na kagere pale mbele.
Attaker--mshambuliaji.Mimi siangalii kilichotokea uwanjani, naangalia ulichoandika, na ndicho ninachotaka ufafanue
Aisee! Hii ni mpya kwangu! Kumbe katika first eleven kuna nafasi ya mfungaji!?Attaker--mshambuliaji.
Striker - mfungaji.
Umeona tofauti?