Cicadulina
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 977
- 2,370
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba mbona wanapenda sana wachezaji huru? Ina maana wamemsajili uyo ambae anaonyesha kakaa tokea mwezi wa 4 mwaka 2023 bila kuwa na timu au Mimi ndio sijaelewa vizuri hapo?
Sidhani kama kuna shabiki wa simba anaeza fanya hayo usemayoJambo kuu la kushauri kwa mashabiki wa Simba ni kupunguza matarajio tu. Huu msimu unaweza kuwa mrefu sana upande wetu.
Kwa usajili huu, naona kuna baadhi ya viongozi ni mihula yao ya mwisho kabisa katika klabu ya Simba. Otherwise, kuna baadhi ya viongozi wanaweza chapwa bakora mtaani, I do fear for their safety. (Wachukue tahadhari mapema kabisa).
Unajuaje huenda hutekeleza maelekezo toka kwa waliowaweka hapo walipo kiusajili? Fikiri nnje ya boksi.Jambo kuu la kushauri kwa mashabiki wa Simba ni kupunguza matarajio tu. Huu msimu unaweza kuwa mrefu sana upande wetu.
Kwa usajili huu, naona kuna baadhi ya viongozi ni mihula yao ya mwisho kabisa katika klabu ya Simba. Otherwise, kuna baadhi ya viongozi wanaweza chapwa bakora mtaani, I do fear for their safety. (Wachukue tahadhari mapema kabisa).
Mmh mbona kama panya road huyu?