Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Ndio maana nikaweka doubtAkisema alete wachezaji wa profile yake kuna hio budget ya kuwalipa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nikaweka doubtAkisema alete wachezaji wa profile yake kuna hio budget ya kuwalipa?
Ni kweli usemayo ila inategemea na skauting utakavyoifanyaKwenye dirisha dogo kupata mchezaji mzuri ni betting, Simba na Yanga tujifariji tu
Kasha itwa mara mbiliTimu ya taifa ya Gambia amewahi kuitwa ? Hata mechi za awali ? Hebu niulizie huko
Subiri kwanza mashine ifanye kaziUna lipi la kusema juu ya huu usajiri ndgu muhasibu?
Simba kapata hasara au faida??
Hakuna mchezaji mbaya YouTube, nmeangalia profile yake ni mfungaji kweli kuna mechi kafunga goli 5 peke yake, hat trick kwake ni kitu rahisi Ila anatoka ligi daraja la kwanza KazakhstanNimeangalia clip yake youtube inaonyesha ni mchezaji mzuri akipata viungo wa kumlisha anafunga haswa ila ikawa viungo wapo butu tutampopoa na matusi ya kibongo,anacheza kama kagere muda mwingi yupo kwenye box la kipa sio mtafutaji wa mpira akiwa nao mpinzani
For sure hizi clip sio za kuhamasika na kujifariji kusema mchezaji ni mzuri maana clip ya mechi 2 haikupi tathmini ya ubora wake kwenye mechi 40 za msimu mzima.Nimeangalia clip yake youtube inaonyesha ni mchezaji mzuri akipata viungo wa kumlisha anafunga haswa ila ikawa viungo wapo butu tutampopoa na matusi ya kibongo,anacheza kama kagere muda mwingi yupo kwenye box la kipa sio mtafutaji wa mpira akiwa nao mpinzani
nilivyoangalia mimi nimeona ivyo,hayo mngine ya kwako,mie nimeangalia jinsi anavyochezaHakuna mchezaji mbaya YouTube, nmeangalia profile yake ni mfungaji kweli kuna mechi kafunga goli 5 peke yake, hat trick kwake ni kitu rahisi Ila anatoka ligi daraja la kwanza Kazakhstan
Yanga wakiona mchezaji yeyote mwenye jina baya baya tayari upo kwenye radar zao.Nyau FC wakishamwona mchezaji yeyote mwenye RAS wanajua ni mayele..,🤣🤣🤣🤣
Na katika hizo goli nne alizofunga, mbili kajifunga.Aache uongo, huyu kuanzia 2022 mpaka 2024 kafunga magoli manne tu na hapo khazastan club ya zenis kafunga goli Moja tu
haijalishi katoka timu gani na ligi gani kikubwa awe anaujua tu, alikuja hapa gerson fraga kutoka ligi ya india lakini fraga alikuwa mgumu na aliperform vizur, mda ndio utaongea!Ligi ya Kazakhstan ni laini sana angalia National team yao ushiriki wa vilabu vyao kwenye michuano ya UEFA mbaya zaidi huyu jamaa hajatoka top team ni kama katoka Dodoma jiji ya Kazakhstan
Hio itakua mazoezi au mechi ya kirafiki, Toka 2022 ana goli nne tu zinazotambulika katika mashindano, sasa hatrick hizo alikua anapiga wapiHakuna mchezaji mbaya YouTube, nmeangalia profile yake ni mfungaji kweli kuna mechi kafunga goli 5 peke yake, hat trick kwake ni kitu rahisi Ila anatoka ligi daraja la kwanza Kazakhstan
Mbona kama anamuaka80😎
Sasa amewapatieni wa miak100🤪Benchika hatutaki ujinga juzi ulilalamika kuhusu bull strike, haya sema jingine uongozi ukutekelezee😎😎😎
Ila hili linafikirisha aiseh,angekuwa na uwezo angekuwa na wenzake Afcon,ifike mahali mashabiki waachane na simba,hivi msimu wa ngapi huu timu inafanya usajili wa kijingaWagambia cream wote wako Afcon hilo lonya makolo wameshikishwa.
Apewe mwezi1 ili tumpime kikongwe wetu🤣Anatakiwa apewe mkataba wa miezi 6 tu
Hiyo timu alotoka pia haipo ligi kuu ipo daraja la kwanzaLigi ya Kazakhstan ni laini sana angalia National team yao ushiriki wa vilabu vyao kwenye michuano ya UEFA mbaya zaidi huyu jamaa hajatoka top team ni kama katoka Dodoma jiji ya Kazakhstan
Na hii ni kwa kuwa hapo 🦁.wamejaa tumbo source kama wotee🍲🍜🍿🎂🍪🥃🥤🍷🧁😎🏃♂️🏃♂️🏃♂️Apewe mwezi1 ili tumpime kikongwe wetu🤣