Simba yasajili foward Mgambia, Pa Omar Jobe

Simba yasajili foward Mgambia, Pa Omar Jobe

Nimeangalia clip yake youtube inaonyesha ni mchezaji mzuri akipata viungo wa kumlisha anafunga haswa ila ikawa viungo wapo butu tutampopoa na matusi ya kibongo,anacheza kama kagere muda mwingi yupo kwenye box la kipa sio mtafutaji wa mpira akiwa nao mpinzani
Hakuna mchezaji mbaya YouTube, nmeangalia profile yake ni mfungaji kweli kuna mechi kafunga goli 5 peke yake, hat trick kwake ni kitu rahisi Ila anatoka ligi daraja la kwanza Kazakhstan
 
For sure hizi clip sio za kuhamasika na kujifariji kusema mchezaji ni mzuri maana clip ya mechi 2 haikupi tathmini ya ubora wake kwenye mechi 40 za msimu mzima.

Kuna matukio ambayo hutokea kwa bahati, pia hizo clip hazioneshi ubora wa timu pinzani ni wa level gani.

Sawadogo naye tulioneshwa clip zake lakini tuliyoyaona kiwanjani yalikuwa tofauti na mategemeo ya wengi

Simkatai huyu mchezaji ila sitaki kumkubali kupita kiasi kwa kumpa asilimia kubwa kuwa yupo vizuri kupitia clip zake.

Ukiangalia mazingira aliyokuja huyu mchezaji ni kama timu haikuwa kwenye mpango wa kusajili ila imelazimika kufanya hivyo kwasababu ya kauli ya kocha baada ya matokeo ya mwisho kule Zenji.
 
Hakuna mchezaji mbaya YouTube, nmeangalia profile yake ni mfungaji kweli kuna mechi kafunga goli 5 peke yake, hat trick kwake ni kitu rahisi Ila anatoka ligi daraja la kwanza Kazakhstan
nilivyoangalia mimi nimeona ivyo,hayo mngine ya kwako,mie nimeangalia jinsi anavyocheza
 
Ligi ya Kazakhstan ni laini sana angalia National team yao ushiriki wa vilabu vyao kwenye michuano ya UEFA mbaya zaidi huyu jamaa hajatoka top team ni kama katoka Dodoma jiji ya Kazakhstan
haijalishi katoka timu gani na ligi gani kikubwa awe anaujua tu, alikuja hapa gerson fraga kutoka ligi ya india lakini fraga alikuwa mgumu na aliperform vizur, mda ndio utaongea!
 
Hakuna mchezaji mbaya YouTube, nmeangalia profile yake ni mfungaji kweli kuna mechi kafunga goli 5 peke yake, hat trick kwake ni kitu rahisi Ila anatoka ligi daraja la kwanza Kazakhstan
Hio itakua mazoezi au mechi ya kirafiki, Toka 2022 ana goli nne tu zinazotambulika katika mashindano, sasa hatrick hizo alikua anapiga wapi
 
Benchika hatutaki ujinga juzi ulilalamika kuhusu bull strike, haya sema jingine uongozi ukutekelezee😎😎😎
 
Hii timu na rastafarian imekuwa kama Chelsea sasa
 
Wagambia cream wote wako Afcon hilo lonya makolo wameshikishwa.
Ila hili linafikirisha aiseh,angekuwa na uwezo angekuwa na wenzake Afcon,ifike mahali mashabiki waachane na simba,hivi msimu wa ngapi huu timu inafanya usajili wa kijinga
 
Ligi ya Kazakhstan ni laini sana angalia National team yao ushiriki wa vilabu vyao kwenye michuano ya UEFA mbaya zaidi huyu jamaa hajatoka top team ni kama katoka Dodoma jiji ya Kazakhstan
Hiyo timu alotoka pia haipo ligi kuu ipo daraja la kwanza
 
Apewe mwezi1 ili tumpime kikongwe wetu🤣
Na hii ni kwa kuwa hapo 🦁.wamejaa tumbo source kama wotee🍲🍜🍿🎂🍪🥃🥤🍷🧁😎🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom