Ilongailunga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 1,388
- 896
Pesa kaka, huyo jamaa ni hatari, ni upgrade ya KoteiMkataba mfupi sana kwann wamemsahinisha hivyo
Sasa si wangemsaisha mkataba mrefu ili wamuuze bei nzuri baadae ,km akipata majeraha jePesa kaka, huyo jamaa ni hatari, ni upgrade ya Kotei
Sina shaka naye
Ugonjwa ni upi? Usiniambie ni ujana sikubaliUzee ni dawa
Uzee ni sunaUgonjwa ni upi? Usiniambie ni ujana sikubali
Kweli kabisaPesa kaka, huyo jamaa ni hatari, ni upgrade ya Kotei
Uwezo wake mkubwa nahisi dau la miaka mingi ilishindikana,Sasa si wangemsaisha mkataba mrefu ili wamuuze bei nzuri baadae ,km akipata majeraha je
Mkuu kwa mkataba huo inabidi asiwe majeruhi na aende sambamba na mfumo wa kocha fasta ,sina hofu na kiwango chake hofu ni muda wa mkatabaKweli kabisa
Sasa Simba si timu kubwa Mkuu, ile dhana ya kusema kuwa ubavu wa kushindana na timu kubwa ungeanzia hapaUwezo wake mkubwa nahisi dau la miaka mingi ilishindikana,
HakikaMkuu kwa mkataba huo inabidi asiwe majeruhi na aende sambamba na mfumo wa kocha fasta ,sina hofu na kiwango chake hofu ni muda wa mkataba
[emoji23]Sasa Simba si timu kubwa Mkuu, ile dhana ya kusema kuwa ubavu wa kushindana na timu kubwa ungeanzia hapa
OK, ngoja tuone ila km mdau wa soka mkataba huo mkataba muda mdg sana ,ingawa VPL haitishi sana ,muhimu asiwe majeruhi na misumari asipigweHakika
wakikaa na mzee wa kupenyeza pass za mwisho, aliongoza kwa asssts mwaka Jana sijui itakuajeππππ hiyo kauli ya Ghazwat inaonekana tu anamuhofia Ally Ally.
Bei yake mzee baba na pesa anayolipwa..huwezi kumpa miaka mitatu timu itafilisikaMkataba mfupi sana kwann wamemsahinisha hivyo
Hahahaha, sawa sawa Mzee Baba hata hivyo si habaBei yake mzee baba na pesa anayolipwa..huwezi kumpa miaka mitatu timu itafilisika
Bei yake ngap?Bei yake mzee baba na pesa anayolipwa..huwezi kumpa miaka mitatu timu itafilisika
free agent; ama alikuwa na mkataba uko alipotoka piaBei yake mzee baba na pesa anayolipwa..huwezi kumpa miaka mitatu timu itafilisika
Huyo jamaa ni free agent.Bei yake mzee baba na pesa anayolipwa..huwezi kumpa miaka mitatu timu itafilisika