Simba yasajili kiungo wa Sudan, kuimarisha kikosi

Simba yasajili kiungo wa Sudan, kuimarisha kikosi

free agent; ama alikuwa na mkataba uko alipotoka pia
Mzee baba kwani mchezaji akiwa free agent unamchukua bure...wakina kahata na kina tuyisenge ni free agent sahv nenda kajaribu kuwagusa uone bei yao...timu iliyomnunua tuyisenge ya angola uliza wamemlipa bei gani
 
Shida ya watanzania ni ujuaji, mkataba baina ya pande mbili ni makubaliano, je ka yeye kaomba apewe mkataba wa mwaka mmoja?
 
Tunaongeza wazee [emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi sisi tunaendesha timu ki mfumo upi.
Yaani hatuna wachezaji wengi ambao wapo kwenye mwendelezo wa kuzidi kudevelop.
Sasa ina maana baada ya msimu mmoja au miwili anashuka kiwango then tunamuuza kwa hasara au kuachana nae.
Simba tujifunze pia kufanya biashara ambayo badae inaweza kutuletea faida kibiashara.
Mkataba wa mwaka mmoja mzee
 
Ni mwendo wa kusajili compitent players kama Jose morinho, mambo ya kusajili watoto ndio yana tucost arsenal tunakaribia miaka 20 pasipo ubingwa wa ligi wala vikombe vikubwa.
Lakini pia naamini waboreshe u_20 wale watao prove haswa basi kila msimu walau awe ana promotiwa mmoja ama wawili.
Mkuu ndo umeondoa picha ya Xhaka..
 
Hapa refa hata ukiwa unatoa kadi unasimama mbali ndo unatoa coz hawa alshabab walishazoea vita na mabomu...tusishangae wale viungo wa upande wa pili wakasingizia wanaumwa dengu ili wasikutane nae tu...jamaa kauzu balaa...
 
Hahaha au sio....itapendeza coz Uzi nimeucheki ni wa ukali kishenzi...tatizo linabaki kwenye matokeo sasa...
Arsenal yetu hii wanavyojua kutupandisha na kushusha presha zetu mungu ndio anajua.

unai bado hajalikiba pengo la wenga vizuri
haha sometime nahisi ni kivuli cha wengi
ngoja tumpe mda lakini
 
Habari ndio hizo Mtani. Naona watu wanamsifia tu, hivyo macho yangu na masikio yapo kwake hasa pale msimu utakapoanza.
Aisee mutu ya kazi na usajili bado unaendelea.
Mtani nanyinyi mjipange, msimu ujao hatutaki kusikia ule wimbo wenu maarufu Simba mwabebwa, Simba ya TFF, Simba mwanunua mechi mara marefa. Nasema hivi ni marufuku kuimba huo wimbo msimu ujao.
Simba nguvu moja
 
Arsenal yetu hii wanavyojua kutupandisha na kushusha presha zetu mungu ndio anajua.
unai bado hajalikiba pengo la wenga vizuri
haha sometime nahisi ni kivuli cha wengi
ngoja tumpe mda lakini
Wengine wanasema eti bado squad ina falsafa za Wenger kwa hiyo tumpe muda...ngoja nikubaliane nao but sometimes hawa mabosi wetu wanatuangusha tu....
Anyway tusijefurumishwa na mapaka humu ndani tutajadiri kwa thread yetu.
 
Back
Top Bottom