Halafu anaonekana ana njaa! chondechonde dada zetu zisije piston zikatokea mbavuniMbona hili jamaa linafanana na alshabab
Labda anamaanisha mshara wake mkubwa. maana mchezaji hakuwa na mkataba na timu yoyote ile (free agent)free agent; ama alikuwa na mkataba uko alipotoka pia
Kwa hiyo mchezaji akiwa free agent ndo unampata bure si ndiyo...kwanza unamfahamu huyo mchezaji maana nisijekuwa napoteza tu muda wangu hapa bureHuyo jamaa ni free agent.
Bado Tanzania hatuna uwezo wa kununua wachezaji.
Mzee baba kwani mchezaji akiwa free agent unamchukua bure...wakina kahata na kina tuyisenge ni free agent sahv nenda kajaribu kuwagusa uone bei yao...timu iliyomnunua tuyisenge ya angola uliza wamemlipa bei ganifree agent; ama alikuwa na mkataba uko alipotoka pia
Sijui bei yake exactly but huyo jamaa dau lake si lamchezo....kwa kiungo hapa wamepataBei yake ngap?
Mkataba wa mwaka mmoja mzeeTunaongeza wazee [emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi sisi tunaendesha timu ki mfumo upi.
Yaani hatuna wachezaji wengi ambao wapo kwenye mwendelezo wa kuzidi kudevelop.
Sasa ina maana baada ya msimu mmoja au miwili anashuka kiwango then tunamuuza kwa hasara au kuachana nae.
Simba tujifunze pia kufanya biashara ambayo badae inaweza kutuletea faida kibiashara.
Mkuu ndo umeondoa picha ya Xhaka..Ni mwendo wa kusajili compitent players kama Jose morinho, mambo ya kusajili watoto ndio yana tucost arsenal tunakaribia miaka 20 pasipo ubingwa wa ligi wala vikombe vikubwa.
Lakini pia naamini waboreshe u_20 wale watao prove haswa basi kila msimu walau awe ana promotiwa mmoja ama wawili.
Hahaha umenifanya nicheke peke angu mkuu;; nasubiria akila Uzi mpya wa adidas ; fasta narudisha si unajua tumeachana na puma.Mkuu ndo umeondoa picha ya Xhaka..
Hahaha au sio....itapendeza coz Uzi nimeucheki ni wa ukali kishenzi...tatizo linabaki kwenye matokeo sasa...Hahaha umenifanya nicheke peke angu mkuu;; nasubiria akila Uzi mpya wa adidas ; fasta narudisha si unajua tumeachana na puma.
Arsenal yetu hii wanavyojua kutupandisha na kushusha presha zetu mungu ndio anajua.Hahaha au sio....itapendeza coz Uzi nimeucheki ni wa ukali kishenzi...tatizo linabaki kwenye matokeo sasa...
Aisee mutu ya kazi na usajili bado unaendelea.Habari ndio hizo Mtani. Naona watu wanamsifia tu, hivyo macho yangu na masikio yapo kwake hasa pale msimu utakapoanza.
Sifa zote hizo halafu kapewa mkataba wa mwaka mmoja ina maana haaminiki hata kidogo1, Mwepesi
2,Ana Speed
3,Mpiga mashuti nje ya 18
4, Ball Control na udambwi dambwi
5,Anapga Vichwa vya hatari
[emoji23][emoji23]
Acha urongo wewe mjukuu wa bibi HinduBei yake mzee baba na pesa anayolipwa..huwezi kumpa miaka mitatu timu itafilisika
Wengine wanasema eti bado squad ina falsafa za Wenger kwa hiyo tumpe muda...ngoja nikubaliane nao but sometimes hawa mabosi wetu wanatuangusha tu....Arsenal yetu hii wanavyojua kutupandisha na kushusha presha zetu mungu ndio anajua.
unai bado hajalikiba pengo la wenga vizuri
haha sometime nahisi ni kivuli cha wengi
ngoja tumpe mda lakini
wewe jamaa kwa kujifanya mjuaji mpaka unaboronga sasaSijui bei yake exactly but huyo jamaa dau lake si lamchezo....kwa kiungo hapa wamepata