Labda kama maana ya neno historia imebadilika.Mbele ya Yanga Simba haina historia yeyote
sembo na msemo wako wa treni limekata breki naona leo mmeishia bondeni
Wapi Sembo? Wapi Okwi Boban? Simba 100 - African Lion -2!!!
Huyu msemaji wa Simba Mr sembo yuko wapi aje atoe Maelezo. Imekuwaje wanaacha Mwali anatolewa bikra kizembe hivi. Au message ya Tigo Pesa ilichelewa kufika kwa Mshenga
sembo yupo katika mazingira korofi
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Huyu Sembo si ndiye aliyesema Simba itachukua kombe la afrika!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Vipi lakini kwema wakuu?Kama kawa.. Kama dawa.. Lazima tuwakalishe.
Ile ni ukuta wa belini,tuache unazi kuna wakati nakuwa sioni ni wapi goli kitapitia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]sembo yupo katika mazingira korofi
Kaibuka na style ya emoji.sembo yupo katika mazingira korofi
game haijaisha kama una access ya instergram hebu mfollow huyu mbotohaji ana update zotekwani game imeisha? mbona mnachonga sana.