Simba yashikwa sharubu bila kufurukuta na African Lyon, yalala kwa goli moja Uhuru Nov 6, 2016

Simba yashikwa sharubu bila kufurukuta na African Lyon, yalala kwa goli moja Uhuru Nov 6, 2016

sembo na msemo wako wa treni limekata breki naona leo mmeishia bondeni

Wapi Sembo? Wapi Okwi Boban? Simba 100 - African Lion -2!!!

Huyu msemaji wa Simba Mr sembo yuko wapi aje atoe Maelezo. Imekuwaje wanaacha Mwali anatolewa bikra kizembe hivi. Au message ya Tigo Pesa ilichelewa kufika kwa Mshenga

sembo yupo katika mazingira korofi

Huyu Sembo si ndiye aliyesema Simba itachukua kombe la afrika!
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom