Simba yashikwa sharubu bila kufurukuta na African Lyon, yalala kwa goli moja Uhuru Nov 6, 2016

Kwa nini uzi usiunganishwe na wa ndala ili tuwanange pindi wakipokea kipigo kutoka kwa prison
 
MKUU Mie natamani Leo kipa wetu apumzike tu maana huwa maadui hawafiki golini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna Kila Dalili ya Kuwa Hii Ligi itamalizika Kipa Wetu Akiwa Kafungwa Hayohayo Magoli MAWILI tu (La mkono silo) Manake Kwenye Ligi Hii Mpaka Sasahivi Sijamuona Mchezaji Wa Kumfunga Kipa Wa Simba SC
 
Kwa nini uzi usiunganishwe na wa ndala ili tuwanange pindi wakipokea kipigo kutoka kwa prison

Ingawa Mkodisho FC tokea Juzi Wanahangaikia Namba Za Simu Za Wachezaji Wa Prison ili Kufanya Miamala Lakini Hongera Uongozi Wa Prison Kwa Kuwazuia Wachezaji Wasitumie Simu Zao Za Kiganjani Masaa 24 kabla ya Mchezo wao Na Mkodisho FC.
 
Ingawa Mkodisho FC tokea Juzi Wanahangaikia Namba Za Simu Za Wachezaji Wa Proson ili Kufanya Miamala Lakini Hongera Uongozi Wa Prizon Kwa Kuwazuia Wachezaji Wasitumie Simu Zao Za Kiganjani Masaa 24 kabla ya Mchezo wao Na Mkodisho FC.
Baada ya miamala kugoma.. Mtaalamu wao wa kamati ya ufundi tangu juzi yupo bize akijiuliza, wanashindaje?? Maana kila akichungulia anaona kipigo tu..

[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Nyie Mikia FC mnaleta zenu za Moro kulana........
 
Lyon 1 simba 0

Wewe ni Msukule Wa Wap?... Au Ndiyo Wale wa ¼..?
Manake Kwa Binadamu Wa Kawaida haiwezi mpitikia Akilini Kuwa Simba Anaweza Fungwa Ndani Ya Tanzania hii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…