Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Kwa nini uzi usiunganishwe na wa ndala ili tuwanange pindi wakipokea kipigo kutoka kwa prison
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huyu jamaa alivyo na kiu na magoli.. Leo hattrick lazima imuhusuSimba 8 africa lion 0
Mavugo hatrick.....
MKUU Mie natamani Leo kipa wetu apumzike tu maana huwa maadui hawafiki golini[emoji23] [emoji23] [emoji23]Simba Sc timu iliyocheza mechi 12 na kufungwa goli 2 tu na moja la mkono ililofungwa na Yanga SC,leo inakipiga na African Leone uwanja wa Uhuru.
Mechi hiyo itapigwa jioni saa 10 na itarushwa live na Azam TV na kutangazwa na TBC one na Uhuru FM. Hapa JF nitakuletea moja kwa moja mtanange huu kwa msaada wa Azam TV
Simba inategemewa kuendeleza kipigo kwa kila timu inayokutana nayo bila kujali wepesi au uzito wake.
Hivi punde ntakuletea kikosi kizima cha Mnyama Taifa Kubwa
Usiondoke
Kwa nini uzi usiunganishwe na wa ndala ili tuwanange pindi wakipokea kipigo kutoka kwa prison
Baada ya miamala kugoma.. Mtaalamu wao wa kamati ya ufundi tangu juzi yupo bize akijiuliza, wanashindaje?? Maana kila akichungulia anaona kipigo tu..Ingawa Mkodisho FC tokea Juzi Wanahangaikia Namba Za Simu Za Wachezaji Wa Proson ili Kufanya Miamala Lakini Hongera Uongozi Wa Prizon Kwa Kuwazuia Wachezaji Wasitumie Simu Zao Za Kiganjani Masaa 24 kabla ya Mchezo wao Na Mkodisho FC.
Lyon 1 simba 0
Yanga kapigwa 3-2Yanga na prison VP matokeo?
Nyie Mikia FC mnaleta zenu za Moro kulana........
Tumekuelewa kiongozi!Kama kawa.. Kama dawa.. Lazima tuwakalishe.
huyu sio Msukuma Makoye Matale kweli?Baada ya miamala kugoma.. Mtaalamu wao wa kamati ya ufundi tangu juzi yupo bize akijiuliza, wanashindaje?? Maana kila akichungulia anaona kipigo tu..
View attachment 429966
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Endelea kuota, labda umeota Yanga kaweka mpira kwapani baada ya 3 bila ya Prison.Nimeota simba leo anafungwa kwa mara ya kwanza