Simba yashikwa sharubu bila kufurukuta na African Lyon, yalala kwa goli moja Uhuru Nov 6, 2016

Mwenye matokeo ya mechi ya Simba tafadhaliiiii
 
Huyu msemaji wa Simba Mr sembo yuko wapi aje atoe Maelezo. Imekuwaje wanaacha Mwali anatolewa bikra kizembe hivi. Au message ya Tigo Pesa ilichelewa kufika kwa Mshenga

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
MOD uliyeweka haya matokeo tunashukuru sana. Ila edit Heading isomeke African Lyon 1 - 0 Simba. Sababu hii thread inahusu update ya simba na african lyon.

Bold kabisa heading kuwa Simba Kapakatwa kimoja Bila Majibu
 

Kweli mkuu samtaimu soka ina maajabu yakw
 
Ebu tulieni kisha nipeni updates za uhakika!
Mnasema mnyama mnyamani kakaa?
 
Kupatwa kwa simba... Prison funga simba Wiki ijayo.. Twende mapumziko gape ndogo
 
Game imekuwa fair kabisa hakuna wa kulaumiwa . Simba wamezalishwa dakika za lala salama bila ubishi .
 
kati ya magoli yanayouma ni hili goli la africa lyon,limeniuma sana hata kula usiku sitamani bora wangufunga dk za mwanzo tungejua tumeshindwa sisi kurudisha sasa goli dk zile asee na mpira wote tuliocheza daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…