Simba yashikwa sharubu bila kufurukuta na African Lyon, yalala kwa goli moja Uhuru Nov 6, 2016

Simba yashikwa sharubu bila kufurukuta na African Lyon, yalala kwa goli moja Uhuru Nov 6, 2016

Eeh Mungu saidia hawa jamaa waendelee kuchonga ma draw yao hadi kwa mechi zijazo
 
***** hawa simba daaaah

hili mavugo lipigwe bench hata mwaka
 
Paka limenyanyua Mkia wazee wa kimila wakatia kimoja halafu walivyokuwa jeuri wakakatia humo humo.
 
Kichuyaaaaaaaaaaaaaaaaa lichuyaaaaaaa Mchuyaaaaaaaaaa goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooal
 
Back
Top Bottom