Simba yatambulisha Kocha mpya wa Makipa

Simba yatambulisha Kocha mpya wa Makipa

Naona wanazuga hii kadhia iliyotokea, hawakuwa na mission yoyote ya kutangaza Kocha Leo hii hao.. Ila Simba ni Timu ya Mabahili washazoea kuwatumikisha watu bila mikataba.. But ukweli utabaki palepale kuwa Simba ni Timu ya Wala Ngada
 
kuna yule pedeshee ya Yanga aliyekuwa anaitwa YANGA OMARY wa Tanga,yupo Jela Maweni tangu mwaka juzi alihukumiwa kwa kukutwa na Heroin nyumbani kwake
 
Uuzaji na usafirishaji wa madawa ya kulevya wanayoyafanya haiwezi zimwa na kutambulishwa kwa muuza ngada mwingine🤣🤣

Ngada fc
Ngada FC hawa....teh eeeeeeeeeehhh.
 
Ngada fc sembe fc mnajaribu kufunika kombe mwanaharamu apite
Kumbukumbu ni jambo jema sana
Screenshot_20221115-173049.jpg
Screenshot_20221115-173122.jpg
 
Back
Top Bottom