Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hisia zake zitakua sahihi tuu, maaa amekua karibu na uongozi kwa muda mrefu...anajua wanahusika tuuMatola anahisi labda na viongozi nao wanafanya biashara
Tutakomakumbe ndio maana [emoji1787]View attachment 2417631
Yamekuwa hayo tena?Haha haaaaaaa haaaaaaaaaaa Ngada FC.
Tuoneeni hurumaSembe FC wanaendeleza vituko tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] boss punguza kiwango cha ngada,huyo wa maweni alikua na cheo gani?kuna yule pedeshee ya Yanga aliyekuwa anaitwa YANGA OMARY wa Tanga,yupo Jela Maweni tangu mwaka juzi alihukumiwa kwa kukutwa na Heroin nyumbani kwake
Ngada imewaharibu wengi mpaka huyu Sembe FC.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] boss punguza kiwango cha ngada,huyo wa maweni alikua na cheo gani?
Ngada FC hawa....teh eeeeeeeeeehhh.Uuzaji na usafirishaji wa madawa ya kulevya wanayoyafanya haiwezi zimwa na kutambulishwa kwa muuza ngada mwingine🤣🤣
Ngada fc
Kumbukumbu ni jambo jema sanaNgada fc sembe fc mnajaribu kufunika kombe mwanaharamu apite
[emoji23][emoji23][emoji23] huyu na Mimi hatuna tofauti wote ni mashabiki,haya wewe na kocha wenu muuza ngada mnafanana sifa kwenye club?nyie makolo hebu punguzeni matumizi ya heroin tujadiliane vizuri humu.Kumbukumbu ni jambo jema sanaView attachment 2417809View attachment 2417810
Alikuwa na nafasi gani Yangakuna yule pedeshee ya Yanga aliyekuwa anaitwa YANGA OMARY wa Tanga,yupo Jela Maweni tangu mwaka juzi alihukumiwa kwa kukutwa na Heroin nyumbani kwake
Vyovyote ilivyo hayo ni maisha binafsi ya watu husika ndio maana wamekamatwa wao kama wao,zaidi ya hilo sidhani kama nina muda wa kuendelea ku-argue!!Nilih et Cum DeoAlikuwa na nafasi gani Yanga
Wanadhani ni jina la utani kutokana na ushabiki wa timu hawajui kuwa ni jina halisi alilopewa na wazazi wake kama ilivyo kwa majina ya Simba ambayo yapo Tanga na Zanzibar.Alikuwa na nafasi gani Yanga