Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu ni winga,namba 9 au 10 ?Umri wake ni miaka 26 (haters wameguna)
View attachment 2872957
Mkuu umeona post ya Micky JR kule X?Kwa huyu mshambuliaji let's hope for something big
Hivi kati ha Baleke na Saido nani ambaye anafakisha sana siku hizi?Mkuu umeona post ya Micky JR kule X?
Kwamba Baleke na Phiri wameacha (confirmed).
Aisee dah Baleke anaondoka halafu Saido anabikizwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu lakini Saido umri aisee,vipi Phiri unaonaje?Hivi kati ha Baleke na Saidi nani ambaye anafakisha sana siku hizi?
Kwangu mimi Baleke siku hizi amekuwa na makosa mengi zaidi kuliko Saido
Nasikia wametangaza jamaa anaitwa Joseph GuedeDirisha tayari limefungwa
Yanga sijui bado hawajafika bei kwa yule Chinga maana walisema watatangaza mchezaji ikifika saa 5 na mpaka sasa ni saa 6 sioni kitu na dirisha ndio hilo limefungwa.View attachment 2872962
Hivi saidoo anabakia kutafuta nini Simba?
Nimeiona hata mimi
Dah, huyu hakosi miaka 33. Ila fresh tu, tajiri hataki matumizi. Simba itabidi tusubiri sana aisee.Umri wake ni miaka 26 (haters wameguna)
View attachment 2872957
Phiri kiwango kimeshuka na hii inaweza kutokana na kile kipindi alichokaa muda mrefu akiuguza jeraha.
Mkuu sijui why Saido na Kramo wamebakizwa halafu waachwe Baleke na PhiriHivi saidoo anabakia kutafuta nini Simba?
Yule jamaa katukosesha magoli mengi sana
Na inawezekana mechi na Waydad tusingeshinda kama angekuepo