Simba yatambulisha mshambuliaji mpya kutoka Ivory Coast Freddy Michael Kouablan

Isije kua goli kama za Saido mechi moja 5 baadae hakuna kitu
Kafunga goli 9 kwa mechi 7

Jamaa yuko vizuri ngoja tuone kwenye ligi yetu atakuwa na makali hayo hayo au itakuwaje
 
Mkuu umeona post ya Micky JR kule X?
Kwamba Baleke na Phiri wameacha (confirmed).

Aisee dah Baleke anaondoka halafu Saido anabikizwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kati ha Baleke na Saido nani ambaye anafakisha sana siku hizi?

Kwangu mimi Baleke siku hizi amekuwa na makosa mengi zaidi kuliko Saido
 
Dirisha tayari limefungwa

Yanga sijui bado hawajafika bei kwa yule Chinga maana walisema watatangaza mchezaji ikifika saa 5 na mpaka sasa ni saa 6 sioni kitu na dirisha ndio hilo limefungwa.
 
Mkuu lakini Saido umri aisee,vipi Phiri unaonaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Phiri kiwango kimeshuka na hii inaweza kutokana na kile kipindi alichokaa muda mrefu akiuguza jeraha.

Angalia mwenyewe gemu alizocheza afu jiulize was he threat to the opponent?

No jamaa alikuwa amepoteza makali na hii inakuja kama ukifanya reference kwenye peak yake ya ubora alipokuwa anafunga karibia kila mechi.

Na ndio sababu unaona hata Simba imekuwa mguu nje kumuweka Kramo moja kwa moja kutoka kwenye kipimdi kirefu cha kuuguza jeraha, kwasababu wanaogopa wasijekurudia makosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…