Simba yatangaza tenda ya jezi, mashabiki wazitamani Adidas, Puma na Nike

Simba yatangaza tenda ya jezi, mashabiki wazitamani Adidas, Puma na Nike

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
9a8dcd6d45d140f69fde060a1794f416.jpg

f436ff00484541afad2e0b944a62bd90.jpg

Hii ni kufuatia mkataba wa bilioni 2 kwa miaka miwili kati ya Simba na Sandaland kuelekea ukingoni
 
Sanda imekuwaje tena au kashindwa kazi mashabiki oyah oyah wananunua feki
 
Mngesema tu mnamhitaji Sheria Ngowi awatengenezee jezi
 
Subiri huu msimu tuwazike na sanda zenu
Sasa utafananisha sanda na yale matambara yenu mliyoyajaza 5 5 mkidhani na msimu huu mtajiokotea tu goli tano kwa kila timu, matokeo yake ndio kwanza kimataifa mmeishia makundi na kwenye ligi raundi ya pili hakuna timu itakubali muifunge tano hata mhonge wachezaji na mashabiki wote, halafu naona bado mnaendeleza hesabu zenu za "tuki" na "waki" hadi kwenye ligi ndio maana msemaji wenu uvumilivu umemshinda ameamua kuongelea ile penati ya jana ya simba dhidi ya nyuki maana mlitegemea tabora wawape furaha utadhani ile penati ndio iliyoamua ushindi wa mnyama
 
Yanga amekufunga mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5, Bado tu una wenge mrembo?
 
Yanga amekufunga mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5, Bado tu una wenge mrembo?
Tatizo siyo kufunga tatizo mlifungaje hizo mechi zote, hebu acheni kujitoa ufahamu bana wote tunajua kipimo cha ubora wa timu yenu ni kimataifa tu, hii ligi yetu mnajifanya mnaimudu sana kwa kuhonga wachezaji na kuhujumu timu
 
mashabiki wataweza kununua jezi za nike, puma na adidas?
 
Hizi tunazoletewa bongo tukauziwa kwa bei ya kawaida huwa zinatoka wapi?

hizo ni fake, adidas wala wamiliki wa timu hawazitambui

umeona wapi jezi ya madrid ama ya man utd inauzwa elfu 8 ama elfu 20

Mamelodi anavalishwa na PUMA, al ahly anavalishwa na adidas, nenda katazame bei za jezi wanazouziwa mashabiki wao south africa ama misri.

Jezi moja ya mamelodi inauzwa usd 55 pale south africa
 
hizo ni fake, adidas wala wamiliki wa timu hawazitambui

umeona wapi jezi ya madrid ama ya man utd inauzwa elfu 8 ama elfu 20

Mamelodi anavalishwa na PUMA, al ahly anavalishwa na adidas, nenda katazame bei za jezi wanazouziwa mashabiki wao south africa ama misri
Acha kujidharau.
 
Ujinga mwingine bana !!!, Puma sijui adidasi?. Jamaa wewe huwa ni lijingalijinga!!.
 
Back
Top Bottom