Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
Tz tunapenda vya dezo... Hizo kampuni haziwezi kuchukua tenda kuja kuuza jezi kwa 15 na ulanguzi mwingi.Acha kujidharau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tz tunapenda vya dezo... Hizo kampuni haziwezi kuchukua tenda kuja kuuza jezi kwa 15 na ulanguzi mwingi.Acha kujidharau.
Simba hawahitaji kuvaa vitengeMngesema tu mnamhitaji Sheria Ngowi awatengenezee jezi
Kwani zinauzwaje ? Msitutishe bei ya elfu 60- 80 ni ya kawaida kama jezi ni nzurimashabiki wataweza kununua jezi za nike, puma na adidas?
Jamaa mshamba wewe,sijapata ona.Subiri huu msimu tuwazike na sanda zenu
Soma Para 2.Nimeona kichwa cha habari chahusu "supply & distribution" najiuliza nani anafanya design?
Hapa hata mje makolo 100 Huwa nawatuliza Kwa hoja zangu nzitoJamaa mshamba wewe,sijapata ona.
Jezi zile
Hasira hizi za kushindwa kufuzu robo...Relax Utopwenga.Ujinga mwingine bana !!!, Puma sijui adidasi?. Jamaa wewe huwa ni lijingalijinga!!.
Uko kundi moja na GENTAMYCINE bila shakaHapa hata mje makolo 100 Huwa nawatuliza Kwa hoja zangu nzito