Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Hawa Simba watulize presha waanze kukaa na mpira ili wapunguze presha kwa Manula, mashambulizi yakizidi kwake atazidiwa
 
Uzee wa Onyangoo uta tuponzaa asee
Kwakua walikuwa wanamtaka, kiasi cha yeye kutaka kuipandishia mabega Simba Sc. Hii mechi itatumika kama assesment kwake, ili waamue kama watamfukuizia au wamteme.
 
Hawa Simba watulize presha waanze kukaa na mpira ili wapunguze presha kwa Manula, mashambulizi yakizidi kwake atazidiwa

Hali ni mbaya. Ni mnatoka maana hapa nipo Sauz uwanjani, SSC anakazi kushambuliwa na goli litapatikana Tu

Hali ni mbaya
 
Hawa Olando watakuja kujuta hizi nafasi wanazozikosa
 
Pamoja na kuwatakia Simba matokeo mazuri, nawakumbusha uzalendo kwenye michezo siyo lazima.
 
Daah huyu mwamba wao anayepiga mipira ya faulo na kona anazipatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…