Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
8' nyau nyau.....MOT ni Manula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatutaki wambeaHaya hodi hodi tunaingia
Tulia wewe hujafikia vigezo vya kumkosoa escobarKesho lazima muamke na stori za kumkataa Pablo! Kisa ameanzisha mabeki tupu!
Timu haiko organized kabisa! Mfumo hauleweki ni wa aina gani! Wachezaji wameambiwa wakabe tu. 😬😬😬
Zikiwa nyingi sana maana yake probability ya kuruhusu goli inaongezeka, mabeki watulie wacheze mipira na sio kusababisha faulo karibu na goli.Manula apewe ubunge
Mmh jamaa wanatupumulia naangalia huku presha imepanda niko na vidonge pemben