Haya tumewekwa cha kwanza sasa.
Tutatoka kwa kufungwa uwanjani sio wewe kuandika JF.
Chaguo letu na 2 Manula akikimbia mechiBeno unataka kufanya nini hapo?
kikombe kipi mkuu, iki cha CAF?[emoji125][emoji125][emoji56]Eeh mungu tuepushe na hiki kikombe
Wewe ni Bumunda.Huna akili
Wawa soon ataomba sub......Haya majama yanakimbiza balaa
Daaaah...!Kakolanya anapashaaaa
19' 0-0 (nyau nyau)Ngapi Ngapi Mkuu??