Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Kuna mwana yanga jukwaani kavalia jezi ya yanga akishangilia simba, haki na mimi nitalipa fadhila hii siku ambayo yanga anacheza kimataifa
 
Manula anaonekana yupo vizuri kuendelea na mbungi.......20' nyau nyau
 
Reactions: Tsh
Naona mnyama ana mashabiki wengi uwanjani kuliko Orlando
 
Uwanja una majukwaa mazuri lakini pitch haifiki hata ya manungu
 
Hawa nao zero kabisa,Mikia wakichanga karata zao vizuri wanatoboa
 
Tukitolewa basi tumejitahidi sana kufika hata robo fainali sio mbaya
😁😁😁 Kwa hiyo tumekubaliana kwa pamoja leo kipigo hakikwepeki! Na pia tukubaliane tarehe 30 ya mwezi huu tutapigwa tena na wananchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…