awa vimeo awana maajabu ni vile wenge la Simba mechi za ugenini.Mikia kazeni hawa jamaa vimeo..
Team zote za South zimetoka imebaki Orlando, kwahiyo hao unaowaona wanaisagia kunguni Orlando itoke pia ili mitaa itulie[emoji23].Naona mnyama ana mashabiki wengi uwanjani kuliko Orlando
Hizi faulu hizi
Duh!Hizi faulo zitatugharimu
Sipati picha...utaenda kumpa yootee leo mpaka majogoo
mimi mwenyewe hapa utumbo umeunguruma mpaka umetulia tu wenyewe,umeona wala siujali.