Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Naona mnyama ana mashabiki wengi uwanjani kuliko Orlando
Team zote za South zimetoka imebaki Orlando, kwahiyo hao unaowaona wanaisagia kunguni Orlando itoke pia ili mitaa itulie[emoji23].

Haya mambo sio kati ya Simba na Yanga tu, hata kwa wenzetu huko.
 
Yani hata pass mbili tatu tunashindwa kupiga? Tunategemea tutadefend kwa dakika zote fisini au? Na kwa makosa yanayofanyika kule nyuma sijuiii
 
Pape ostsmane sakho kachezewa foul, simba wanapata freekick
 
Hawa jamaa wa kawaida sana sema Simba wenyewe tu hawana hawajiamini .
 
Sipati picha...utaenda kumpa yootee leo mpaka majogoo

Una ujinga[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka
Ni shabiki wa Yanga lia lia atakua amenuna hata hayo mawazo hana
 
Wachezaji wa Simba wenye spidi wachukue huo mpira wa dribble kina Sakho wasogee nao mbele, naona wote wanatetemeka hawawezi hata kupigiana pasi mbili
 
Back
Top Bottom