Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Mugalu nae anacheza utafikiri mechi za Tandale, ila leo Mtani ulituliza kichwa kwenye kupanga kikosi na style ya uchezaji.
 
Huyu Mugalu nimchomeshajitu sijui kwanini wanampanga kwanza hanaga uwezo wa kufunga.
 
Mkuu nashukuru sana ...
lakini naaanza kujuta bora usingenipa link
 
Hawa wenye njano wawe Makini watatugharimu zaidi ya hapa.

Kama mechi ndiyo imeanza sasa
 
Back
Top Bottom