Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Kupaki bus sio tatizo, mbn 1st half tumepaki. tatizo ni ujinga wa kocha mchezaji ana kadi ya njano game ya pressure km hii anamuacha muda wote matokeo yake ndio hayo
Yani kasubiri apewe nyekundu
 
Tadeo Lwanga Kwa uchezaji wake soon mtacheza 9🀣🀣
 
Watu wanaamini Sana kwenye kupaki basi ,matokeo yake ndio haya sasa...
Shida sio kupaki basi, unarudishaje uwanjani wachezaji wenye kadi za njano ilhali unacheza deffensive game na una option nzuri ya ku-switch wachezaji??

Hii game umeshakuwa ngumu kwa Simba Sc, lasivyo watikoke nyuma walazimishe kucheza kwenye box la Orlando huenda wakapanalty au wakafanikiwa kubalance mchezo maana hakuna namna tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…