Leo nimecheka sana wakimataifa wametepetaHalafu wana mechi nyingine tarehe 30! πππ Hawa mwaka huu tunaua!
Hivi kumbe kuna muda unamwamini Mungu. Ubarikiwe na uache uchawi sasa.Mungu ibariki SIMBA
Huyu refa anawabebaDakika Nne Zimeongezwa Mpaka Sasa ni 9
Miaka 45 tu mechi zishamshindaHuyu Refa mbona anakuwa mkali hivi? Kwa umri wake hakutakiwa awe hapo