T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Simba ilizembea kufunga goli zaidi ya moja kwa Mkapa. Orlando walikuwa wazembe ila kama kawaida ya Simba hawataki kufunga hasa kipindi cha kwanza. Ndio mateso yanakuwa hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dakika hii wanachezeshwa amapiano 😂Halafu wana mechi nyingine tarehe 30! 😁😁😁 Hawa mwaka huu tunaua!
Hatari.Dkk ya ngapi Scars maana siangalii naogopa
Goal la offsideKwanini?
Simba iko vizuri sana kutumia mbinu kupoteza muda
Tunashinda Ingawa tutafika nusufainali tumetepetaManula asije pewa red naogopa
Naamini hawa wajinga wanamuogopa Manula kwa kazi aliyofanya, watampa mikononi penalti tatuKapombe pekee ndiye mwenye ujasiri wa kupiga penati, mechi ya Mimosa waliukimbia mpira wachezaji wote Kapombe akauomba ya juzi na Orlando hivyo hivyo.