FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Daaaahh hapa pressure tu.. Ila tunatoboa, hawa waliopo nyumbani lazima watakuwa na pressure kubwa kwenye penalty kuliko sisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaahh hapa pressure tu.. Ila tunatoboa, hawa waliopo nyumbani lazima watakuwa na pressure kubwa kwenye penalty kuliko sisi
subir penati halafu uone hazijafka 5Walisema mnyama atafungwa 5 wanaona aibu kwa hii mbungi.
Ndo wajifunze kucheza mechi za away.
Mungu na akatende jamani mweeeh🙏🙏🙏Simba watatuua kwa presha Nkamu, naogopa kuangalia penati
Umeona mkuu wachumba kabisa. Sauz jina kubwa ila ushuzi tu..hawa wangekuta simba ya miaka kadhaa hapo nyuma wangekula 4 taifaOrlando Pirates sawa na Azam tu.
Lile lilikuwa bonaza la chifu Abiola acha kutufunga kambaGame hii Inanikumbusha Mwaka 1993 Simba ilipofika Fainali Ya Michuano hii
Mechi dhidi Ya Atletico Sports Aviacao Ya Angola.
Mabeki na Kipa walifanya Kazi nzito Sana...
Madogo mliozaliwa juzi juzi msicomment hapa!
Mzee
Fanya mambo yake Yale tufuvu
Hahaaaaaa. Kunja ngumiSimba watatuua kwa presha Nkamu, naogopa kuangalia penati
Refa amevurundaa, goli la orlando ni offside.Ila huyu refa kawa fair sana kwetu..
NakaziaIla huyu refa kawa fair sana kwetu..
Liverpool hajakushusha pressure?kmmke hizi bumbu leo zinapitia wakati mgumu, WANANGU WA SIMBA TUENDELEE KUBANA MAMBUPU NA MIKUNDYUU