Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Manula aliicheza lakini ikamponyoka na kuingia kambani
 
Kapombe asije kufuta ile penati yake
 
Basi safari yetu imeishia hapa..

Tulifanya uzembe kwa Mkapa na umetucost..

Tunahitaji striker wazuri msimu ujao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…