Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Kimataifa Simba walishajiwekea psychological barrier kwamba kilele cha michuano ni robo fainali.
Tatizo la Simba ni la Kisaikolojia zaidi, timu nzima inatakiwa itambue kuna michezo mingine baada ya robo fainali.
Tula kwanza wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…