Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Tula kwanza weweKimataifa Simba walishajiwekea psychological barrier kwamba kilele cha michuano ni robo fainali.
Tatizo la Simba ni la Kisaikolojia zaidi, timu nzima inatakiwa itambue kuna michezo mingine baada ya robo fainali.