Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Refa kajua kuikamata pressure ya game
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja ya vitu vinavyonifanya niamini uchawi una athiri mpira ni vile Mugalu anampiga Kagere bench. Hata Simba wakibadili kocha cycle ni ile ile.
Hata goli lao ni clear offsideRefa mechi imemshinda anawasikiliza sn hawa jamaa
Asante tuzidi kumwomba Mungu aibariki SIMBA [emoji1545]Hivi kumbe kuna muda unamwamini Mungu. Ubarikiwe na uache uchawi sasa.
Refa unamuonea tu mkuu,kuwa fea kidogoRefa hayuko fair anawabeba wenyeji
Simba bila kufanya team overhaul kuanzia Matola, haitafika popoteMoja ya vitu vinavyonifanya niamini uchawi una athiri mpira ni vile Mugalu anampiga Kagere bench. Hata Simba wakibadili kocha cycle ni ile ile.
Tunashinda Ingawa tutafika nusufainali tumetepeta
Simba hapa kwenye matuta (hasa wapigaji) wawe makiniNaamini hawa wajinga wanamuogopa Manula kwa kazi aliyofanya, watampa mikononi penalti tatu
Refa mechi imemshinda anawasikiliza sn hawa jamaa
Wa Mwisho Kabisaa Kibalungati Huyu.