Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Msemaji Wa Hawaamini Macho Yao FC "Sisi Kama Hawaamini Macho Yao FC Kwa Sasa Tunafocus Na Kuondoa Gape La Point 13 Bado Sisi Ni Mabingwa Watetezi Na Tutatetea Ubingwa Wetu Kwa Mara Ya Tano...Tunajua Ni Baiskeli Ya Miti Tu Wale Ni Kawaida Yao Kuongoza Ligi Af Mwisho Kombe Tunachukua Wenyewe" [emoji41]
 
Ulivyoandika hapo, nimekumbuka alivyokuwa anatetemeka hadi kachozi kamenitoka. Hopeful atapata msaada sahihi; atakuwa sawa tu

Nimemuonea huruma sana natamani watu wake wake wa karibu wampe moyo, nimemuonea huruma mnoo mashabiki wa Simba hatuna deni nae awe na amani
 
Nimemuonea huruma sana natamani watu wake wake wa karibu wampe moyo, nimemuonea huruma mnoo mashabiki wa Simba hatuna deni nae awe na amani
Amejibebesha lawama zote za kushindwa maskini. Naamini wenzie watakuwa wamemuona na wanafanya Kila wawezalo kumsaidia. It was heartbreaking💔💔
 
Amejibebesha lawama zote za kushindwa maskini. Naamini wenzie watakuwa wamemuona na wanafanya Kila wawezalo kumsaidia. It was heartbreaking[emoji174][emoji174]
Kwa nini wanawake mna huruma sana?,. Karibu kwenye chama letu maji maji hakuna stress
 
Hapo ndo uwezo ulipoishia. Tusidanyane hiyo timu ya kubeba ubingwa wa CAF hapa haipo.
 
Back
Top Bottom