Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Pamoja Na Kuroga Kote Lakini Wapi [emoji23]Sijui lini hawa makolo wataacha kuaibisha taifaView attachment 2199653
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja Na Kuroga Kote Lakini Wapi [emoji23]Sijui lini hawa makolo wataacha kuaibisha taifaView attachment 2199653
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Muone[emoji34][emoji35]Asante sana Orlando.
Mimi sio Team vyura tafadhari Sana!Hatutaki wambea
Angalia walichokifanya kuwazuia wale wazulu na hasira za Kwa BenEfforts zipi bila ya shorts on target hata 1 tu kwa dakika 90 zote [emoji848][emoji16]
View attachment 2199313
Sio kwa huyu kocha mkuu na wasaidizi wakeMsimu huu Simba tulikuwa hatuna timu. Hata hapo tumejitahidi sana.
We will bounce back strong.
Semegiiiii!Muone[emoji34][emoji35]
Manyau fc bwana[emoji2297][emoji2297]Sijui lini hawa makolo wataacha kuaibisha taifaView attachment 2199653
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Tumekufa kiume lakini😂😬😬Bora mmepigwa, mna mdomo sanaaa 🙂🙂
Mimi ni YANGA Kindakindaki, lakini Simba ni Timu nzuri kuliko Hao maharamia wa Orlando,Simba walistahili kushinda kabisa.Sio kwa huyu kocha mkuu na wasaidizi wake
Sio kwa hawa wachezaji tulio nao.
Kiufupi hatuna wachezaji na tutao sajili lazima tupigwe
Walistahili kushinda kwa kulinda goli moja dakika 90?Mimi ni YANGA Kindakindaki, lakini Simba ni Timu nzuri kuliko Hao maharamia wa Orlando,Simba walistahili kushinda kabisa.
Kimewazuia nini?Mimi ni YANGA Kindakindaki, lakini Simba ni Timu nzuri kuliko Hao maharamia wa Orlando,Simba walistahili kushinda kabisa.
Ni team naniMimi sio Team vyura tafadhari Sana!
😂😂😂😂
Refa Mchongo Mchongo!Kimewazuia nini?
vipi mmefuzu?[emoji90][emoji90][emoji90]Amin Amin nakuambia,Leo hii kabla watu hawajaingia vitandani kulala,Simba Tyr itakuwa imefuzu nusu fainali
team SamakiNi team nani