Simba yatolewa mapinduzi cup na mlandege

Simba yatolewa mapinduzi cup na mlandege

utopolo og

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
575
Reaction score
1,575
Mabingwa watetezi wa kombe la mapinduzi Simba S.C wameondoshwa kwenye mashindano hayo kufuatiwa kichapo cha goli Moja Kwa bila.

Simba imebakiza mchezo mmoja wa kukamilisha ratiba utakaochezwa hapo tarehe 6 Jan dhidi ya KVZ ya zanzibar.
 
Kweli Mgunda hatoshi hata kuwa kocha msaidizi
 
Mkuu kocha ana kosa gani hapo? Watu km kina Kibu D, kyombo, okwa, akpan n.k wote amewakuta Simba
Alishindwaje kuweka akina Chama benchi kwa ajili ya msaada mambo yakienda kombo?
 
Mkuu kocha ana kosa gani hapo? Watu km kina Kibu D, kyombo, okwa, akpan n.k wote amewakuta Simba
Kwahiyo Yule kocha mzungu alivyo wakataa hawa wachezaji alikuwa sahihi??

Yupo huko Misri ana pambana kinyama... ana watoa jasho vigogo, si mlimuona hafai
 
Alishindwaje kuweka akina Chama benchi kwa ajili ya msaada mambo yakienda kombo?
Hii ndio michuano pekee yakujaribu wachezaji wako wote hata wale wa benchi. Nadhani mgunda ametimiza wajibu wake Sasa ni jukumu la uongozi kangalia km Hawa wachezaji wanafaa kuendelea kula mshahara hapo Simba
 
Back
Top Bottom