utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Mkuu kocha ana kosa gani hapo? Watu km kina Kibu D, kyombo, okwa, akpan n.k wote amewakuta SimbaKweli Mgunda hatoshi hata kuwa kocha msaidizi
Alishindwaje kuweka akina Chama benchi kwa ajili ya msaada mambo yakienda kombo?Mkuu kocha ana kosa gani hapo? Watu km kina Kibu D, kyombo, okwa, akpan n.k wote amewakuta Simba
Alishindwaje kuweka akina Chama benchi kwa ajili ya msaada mambo yakienda kombo?
Kwani hawa ni wachezaji wa mlandegeSema Kibu, Akpan, Okwa, Joseph Michael, Gymson, Beno, Okrah, Mkude, Gadiel wametolewa na Mlandege
Kwahiyo Yule kocha mzungu alivyo wakataa hawa wachezaji alikuwa sahihi??Mkuu kocha ana kosa gani hapo? Watu km kina Kibu D, kyombo, okwa, akpan n.k wote amewakuta Simba
Hii ndio michuano pekee yakujaribu wachezaji wako wote hata wale wa benchi. Nadhani mgunda ametimiza wajibu wake Sasa ni jukumu la uongozi kangalia km Hawa wachezaji wanafaa kuendelea kula mshahara hapo SimbaAlishindwaje kuweka akina Chama benchi kwa ajili ya msaada mambo yakienda kombo?
We unawaonaje?Kwani hawa ni wachezaji wa mlandege
Mechi ipo lakini hata wakishinda sidhani kama wanaweza kuvuoa hatua inayofuataKwani si bado wana mechi ama
We elewa imetolewaImetolewa kivipi si bado mechi kwenye group zinapita timu ngapi?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app