Simba yatolewa mapinduzi cup na mlandege

Fukuza mgunda, fukuza matola, fukuza rweyemamu. Fukuza wachezaji wote wanaoanzia benchi ni matakataka tupu
 
Mabingwa watetezi wa kombe la mapinduzi Simba S.C wameondoshwa kwenye mashindano hayo kufuatiwa kichapo cha goli Moja Kwa bila.

Simba imebakiza mchezo mmoja wa kukamilisha ratiba utakaochezwa hapo tarehe 6 Jan dhidi ya KVZ ya zanzibar
Nani ahangaike kupanga kikosi cha kwanza kwenye kombe la mbuzi? Tunajiandaa na michuano ya kueleweka ya CAF Champions league!! Acha wanaoshiriki kombe la mbuzi la caf (caf confederation cup), wakomae na hili la mbuzi la mapinduzi!!
 
Nani ahangaike kupanga kikosi cha kwanza kwenye kombe la mbuzi? Tunajiandaa na michuano ya kueleweka ya CAF Champions league!! Acha wanaoshiriki kombe la mbuzi la caf (caf confederation cup), wakomae na hili la mbuzi la mapinduzi!!
Kweli sisi thimba sio level za mapinduzi.
Anyway ngoja tukomae tulete kombe la caf champions league..
Simba gufu moya[emoji123][emoji123][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na hii michuano ndio mlitaka muitumie ili kocha wenu mpya aweze kuwasoma mchezaji mmoja mmoja.

Na muonea huruma Mgunda,mechi ya leo itatumika kama kiboko cha kumchapa.
Wala hatuna baya nae..
 
FACT CHECK: Simba bado haijatokewa maana kati ya match tatu, imepoteza moja na bado ina match mbili za kucheza.
Yaani umemsikiliza Gadiola kibonge ndo unasema fact tena kwa herufi kubwa kabisa.

Hebu chutama kama wewe ni muungwana.
 
Hii mechi inafikirisha sana! Yaani timu ina mechi 2 tu za kucheza! Badala ya kuanzisha kikosi kamili ili kupata pointi 3 muhimu, wanaanzisha kikosi dhaifu, dhidi ya timu yenye pointi 1!

Haya sasa amefungwa, na pia kuvuliwa ubingwa. Aibu gani hii!!!
Siyo kwamba wameuza mechi hapana!

Ila kocha aliwadharau Mlandege hasa ukizingatia juzi tu mmemfunga mtu goli 7

Simba ni paka aliechnagamka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…