Mkuu mimi sio KoloUnaishi maneno ya rage. Kweli Simba wote ni mbumbumbu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mimi sio KoloUnaishi maneno ya rage. Kweli Simba wote ni mbumbumbu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe ni kolo tu upende usipende[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu mimi sio Kolo
Tatizo mnabet sana [emoji1787][emoji1787]Fukuza mgunda, fukuza matola, fukuza rweyemamu. Fukuza wachezaji wote wanaoanzia benchi ni matakataka tupu
Tatizo kila kitu kwako unaona ni ligi
Nani ahangaike kupanga kikosi cha kwanza kwenye kombe la mbuzi? Tunajiandaa na michuano ya kueleweka ya CAF Champions league!! Acha wanaoshiriki kombe la mbuzi la caf (caf confederation cup), wakomae na hili la mbuzi la mapinduzi!!Mabingwa watetezi wa kombe la mapinduzi Simba S.C wameondoshwa kwenye mashindano hayo kufuatiwa kichapo cha goli Moja Kwa bila.
Simba imebakiza mchezo mmoja wa kukamilisha ratiba utakaochezwa hapo tarehe 6 Jan dhidi ya KVZ ya zanzibar
Wewe ni Simba? Unajua maumivu ya kufungwa?
Kweli sisi thimba sio level za mapinduzi.Nani ahangaike kupanga kikosi cha kwanza kwenye kombe la mbuzi? Tunajiandaa na michuano ya kueleweka ya CAF Champions league!! Acha wanaoshiriki kombe la mbuzi la caf (caf confederation cup), wakomae na hili la mbuzi la mapinduzi!!
Nawaandalia pambano nyie watu mmalize ubishi wenuTatizo kila kitu kwako unaona ni ligi
Wala hatuna baya nae..Na hii michuano ndio mlitaka muitumie ili kocha wenu mpya aweze kuwasoma mchezaji mmoja mmoja.
Na muonea huruma Mgunda,mechi ya leo itatumika kama kiboko cha kumchapa.
Imekuwa sizitaki mbichi hizi.. Mlandege wamejua kuwakata kidomodomo chenuHaya na nyie muonje kombe la Ngisi na Pweza
Kawaida tuu kheee...Imekuwa sizitaki mbichi hizi.. Mlandege wamejua kuwakata kidomodomo chenu
FACT CHECK: Simba bado haijatokewa maana kati ya match tatu, imepoteza moja na bado ina match mbili za kucheza.
Yaani umemsikiliza Gadiola kibonge ndo unasema fact tena kwa herufi kubwa kabisa.FACT CHECK: Simba bado haijatokewa maana kati ya match tatu, imepoteza moja na bado ina match mbili za kucheza.
Siyo kwamba wameuza mechi hapana!Hii mechi inafikirisha sana! Yaani timu ina mechi 2 tu za kucheza! Badala ya kuanzisha kikosi kamili ili kupata pointi 3 muhimu, wanaanzisha kikosi dhaifu, dhidi ya timu yenye pointi 1!
Haya sasa amefungwa, na pia kuvuliwa ubingwa. Aibu gani hii!!!
Kwa mujibu wa taahira wa soka ndugu Haji manara ni kuwa wenye akili pale Yanga ni wawili tu, ila Kwa mujibu wa Al-haji Aden rage ni kuwa wanaSimba wote hawana akili (mbu x3)Yaani umemsikiliza Gadiola kibonge ndo unasema fact tena kwa herufi kubwa kabisa.
Hebu chutama kama wewe ni muungwana.
Chama yupo ZambiaAlishindwaje kuweka akina Chama benchi kwa ajili ya msaada mambo yakienda kombo?