No Chama, no goal! No assist. 🤗Chama yupo Zambia
Saido yupo..No Chama, no goal! No assist. 🤗
Wasipokuelewa na hapa waandikie kwa herufi kubwa.Michuano ya kombe la mapinduzi ina makundi manne ambayo yana timu tatu tatu Kila kundi. Mshindi wa kila kundi anaenda Moja Kwa Moja nusu fainal.
Paka sasa Mlandege anaongoza kundi la simba maana hata Simba akishinda mechi yake iliyobakia atafikisha point 3 ambazo zimeshapitwa na mlandege mwenye pont 4
Kaniingiza chakaYaani umemsikiliza Gadiola kibonge ndo unasema fact tena kwa herufi kubwa kabisa.
Hebu chutama kama wewe ni muungwana.
Kwahiyo unataka kusemaje mkuu, kwamba mashabiki wote wa hizi timu ni hamnazo kasoro mtu mbili tu.Kwa mujibu wa taahira wa soka ndugu Haji manara ni kuwa wenye akili pale Yanga ni wawili tu, ila Kwa mujibu wa Al-haji Aden rage ni kuwa wanaSimba wote hawana akili (mbu x3)
Ilo liko wazi mkuu. Ndio maana wengine Huwa tunaingia humu jf sports kwa I'd tofauti na I'd zetu za kawaida[emoji1787][emoji1787][emoji1787] maana humu jukwaa la Michezo akili huwa unaziweka pembeniKwahiyo unataka kusemaje mkuu, kwamba mashabiki wote wa hizi timu ni hamnazo kasoro mtu mbili tu.
Tunachojua sisi Simba imetolewa na Mladenge a.k.a MlasimbaSema Kibu, Akpan, Okwa, Joseph Michael, Gymson, Beno, Okrah, Mkude, Gadiel wametolewa na Mlandege
Kocha mpya akiwasoma wachezaji mmoja mmoja🤣🤣Na hii michuano ndio mlitaka muitumie ili kocha wenu mpya aweze kuwasoma mchezaji mmoja mmoja.
Na muonea huruma Mgunda,mechi ya leo itatumika kama kiboko cha kumchapa.
Yani kina Chama wavuje jasho kwa ajili ya Bonanza?Alishindwaje kuweka akina Chama benchi kwa ajili ya msaada mambo yakienda kombo?